Friday, 7 December 2018

POCHETTINHO KURITHI MIKOBA YA MOURINHO.


Klabu ya Manchester United ipo tayari kutoa kitita cha pound milio 40 ili kumnasa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino.

Taarifa za Pochettino kurithi mikoba ya mourinho zimesambaa Mara baada ya mwendelezo wa matokeo mabaya ya EPL licha ya Jose msimu uliopita alifanikiwa kushika nafasi ya pili ya ligi kuu EPL.

Ikimbukwe Daniel Levy aliwahi kuwauza Michael Carrick na Dimitar Barbatov kwenda man u, inaelezwa kuwa anakabiliwa na changamoto kubwa ya kumshawishi Pochettino kukataa ofa ya Ed Woodward.

Ikiwa Pochettino hajawahi kuwapa spurs taji LA EPL lkn amefanikiwa kumaliza nafasi nne za juu (Top 4) ktk misimu mitatu mfululizo tangu alipojiunga nao mwaka 2014 akitokea Southampton.

No comments:

Post a Comment

Tex post