Friday, 7 December 2018

Tex post

LIGI KUU TANZANIA BARA



POCHETTINHO KURITHI MIKOBA YA MOURINHO.


Klabu ya Manchester United ipo tayari kutoa kitita cha pound milio 40 ili kumnasa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino.

Taarifa za Pochettino kurithi mikoba ya mourinho zimesambaa Mara baada ya mwendelezo wa matokeo mabaya ya EPL licha ya Jose msimu uliopita alifanikiwa kushika nafasi ya pili ya ligi kuu EPL.

Ikimbukwe Daniel Levy aliwahi kuwauza Michael Carrick na Dimitar Barbatov kwenda man u, inaelezwa kuwa anakabiliwa na changamoto kubwa ya kumshawishi Pochettino kukataa ofa ya Ed Woodward.

Ikiwa Pochettino hajawahi kuwapa spurs taji LA EPL lkn amefanikiwa kumaliza nafasi nne za juu (Top 4) ktk misimu mitatu mfululizo tangu alipojiunga nao mwaka 2014 akitokea Southampton.

Thursday, 29 November 2018

Msimamo wa TPL


YANGA  ya paa kileleni.


Tanzania Premier League


16:00 Yanga Vs JKT Tanzania

Mechi za leo Europa League



20:55 Bayer Leverkusen Vs Ludogorets Razgrad
20:55 FC Zuerich Vs AEK Larnaca
20:55 Rosenborg Vs Celtic
20:55 Salzburg Vs RasenBallsport
20:55 Bordeaux Vs Slavia Prague
20:55 Zenit St. Petersburg Vs  FC Koebenhavn
20:55 Anderlecht Vs Spartak Trnava
20:55 Fenerbahce Vs Dinamo Zagreb
20:55 Qarabag FK Vs Sporting CP
20:55 Vorskla Poltava Vs Arsenal

20:55 Milan Vs F91 Dudelange
20:55 Real Betis Vs  Olympiacos
18:50 Spartak Moscow Vs Rapid Wien
23:00 Rangers Vs Villarreal
23:00 Apollon Limassol Vs  Lazio
23:00 Eintracht Frankfurt Vs   Marseille
23:00 Malmoe FF Vs Genk

23:00 Sarpsborg 08 Vs Besiktas
20:55 FC Krasnodar Vs Akhisarspor
23:00 Standard Liege Vs Sevilla
18:50 FC Astana Vs Dynamo Kyiv
23:00 Jablonec Vs Rennes
20:55 BATE Borisov Vs Vidi FC
23:00 Chelsea Vs PAOK Thessaloniki FC

Wednesday, 28 November 2018

Matokeo ya mechi za klabu bingwa Ulaya (UEFA)




CAF Champions League


full time
simba sc 4 - 1 mbabane Swallows







CAF Champions League


Club ya Simba SC leo saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki
watacheza mchezo wao wa kwanza wa michuano ya CAF Champions League
dhidi ya Mbabane  Swallows ya Swaziland,
mechi hiyo itachezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam.




UEFA Champions LeagueFixtures



Wed, 28 Nov 2018

Lokomotiv Moskva 20:55 Galatasaray

Atlético 20:55 Monaco

Napoli 23:00 Crvena Zvezda

Tottenham 23:00 Inter

PSV 23:00 Barcelona

Porto 23:00 Schalke 04

Dortmund 23:00 Club Brugge

PSG 23:00 Liverpool


Monday, 26 November 2018

UEFA Champions League



Matches


Tuesday 27 November 2018

AEK 20:55 Ajax


CSKA Moskva 20:55 Plzeň

Bayern 23:00 Benfica

Lyon 23:00 Man. City

Hoffenheim 23:00 Shakhtar Donetsk

Roma 23:00 Real Madrid

Juventus 23:00 Valencia

Man. United 23:00 Young Boys

Sunday, 25 November 2018

EPL Results



Bournemouth1-2 Arsenal

Wolves0-2 Huddersfield

Fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho:

leo Kati ya Raja Casablanca ya Morrocco dhidi ya As Vita ya Congo

Ligi kuu Tanzania bara;



Kagera sugar vs Yanga sc

MSHAMBULIAJI WA SIMBA SC SALAMBA ASAKWA NA WAZUNGU;




Timu tatu kutoka barani Ulaya zimeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Simba, Adam Salamba tayari zimepewa 'makabrashi' ya takwimu ya mchezaji huyo kwa ajili ya kwenda kuyafanyia kazi.

Meneja wa Salamba, Jamal Kisongo amesema kuwa hadi sasa kuna timu tatu ambazo zimeleta ofa ya kumtaka mteja wake.

"Timu 3 zimeleta ofa kumtaka Salamba akafanye majaribio ulaya, walihitaji takwimu zake kujua amecheza mechi ngapi msimu uliopita na msimu huu na mabao aliyofunga, tayari tumekamilisha zoezi hilo kwa kuwasilisha video zake zote," alisema.

Salamba amefunga mabao 2 mpaka sasa kwenye Ligi Kuu akiwa ndani ya kikosi cha Simba alisajiliwa akitokea timu ya Lipuli.

Elp Fixtures:



Sun 25 Nov 2018

Bournemouth16:30 Arsenal

Wolves19:00 Huddersfield

Mon 26 Nov 2018

Burnley23:00 Newcastle

Saturday, 24 November 2018

EPL Results:




West Ham0-4 Man City

Watford0-3 Liverpool

Man Utd0-0 Crystal Palace

Fulham3-2 Southampton

Everton1-0 Cardiff

Brighton1-1 Leicester

Spurs3-1 Chelsea

Tex post